Maksai aktiki
(Elekezwa kutoka Maksai maski)
Maksai aktiki | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
| ||||||||||||||||||
Msambao wa maksai aktiki: nyeusi - msambao wa kienyeji, nyekundu - miwasilisho.
|
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maksai aktiki (pia huitwa Maksai maski kutoka jina la Kiingereza "muskox"; Kisayansi: Ovibos moschatus) ni mnyama wa Aktiki wa jenasi Ovibos mwenye manyoya mengi na harufu ya maski. Maksai aktiki wanaishi maeneo ya Aktiki ya Kanada na Grinlandi, na pia nchini mwa Uswidi, Siberia na Norwe.
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Maksai aktiki kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.