Makumbusho ya Wasukuma

Makumbusho ya Wasukuma ni makumbusho ya kijamii yanayopatikana Bujora, kijiji cha mkoa wa Mwanza nchini Tanzania.[1]

Kabila la Wasukuma hutumia Pembe ya Ng'ombe katika ngoma zao

Makumbusho hayo yalianzishwa rasmi mwaka 1968[2] kwa ajili ya kuendeleza na kutunza utamaduni na mila za kabila la Wasukuma [3]

Msingi wa hifadhi ya Bujora uliwekwa katika miaka ya 1950 na Padri David Clement wa shirika la Wamisionari wa Afrika (White Fathers) kutoka nchini Kanada. Malengo yake yalikuwa kuunganisha utamaduni wa Kisukuma na Ukristo, maarufu kama utamadunisho (kwa Kiingereza "inculturation").[4][5]

Marejeo hariri

  1. http://utamaduni.dk/arkiv/wp-content/uploads/2014/03/History-context-and-identity-at-det-sukumamuseum-Bujola.pdf
  2. Bessire, Mark; Bessire, Amy. "Profile and Mission Statement of the Sukuma Museum". Sukuna Museum. Iliwekwa mnamo 22 November 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. Bessire, Mark H.C. (1997). "History, context and identity at the Sukuma Museum". Museum International 49 (3): 53–58. doi:10.1111/1468-0033.00108. 
  4. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-08-29. Iliwekwa mnamo 2020-05-02. 
  5. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-07-15. Iliwekwa mnamo 2021-01-17. 

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Makumbusho ya Wasukuma kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.