Makurumla
Makurumla ni kata ya Wilaya ya Ubungo katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania, yenye postikodi namba 16107.
Kata ya Makurumla | |
Mahali pa Makurumla katika Tanzania |
|
Majiranukta: 6°47′42″S 39°15′58″E / 6.79500°S 39.26611°E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Dar es Salaam |
Wilaya | Ubungo |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 50,677 |
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 50,677 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 53,794 waishio humo.[2]
Ina barabara ya lami ikatishayo kutoka mtaa wa Kagera mpaka barabara ya Mabibo.
Tanbihi
hariri- ↑ https://www.nbs.go.tz/
- ↑ "2002 Population and Housing Census General Report" (kwa Kiingereza). Government of Tanzania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-02-10. Iliwekwa mnamo 2008-08-21.
Kata za Wilaya ya Ubungo - Mkoa wa Dar es Salaam - Tanzania | ||
---|---|---|
Goba | Kibamba | Kimara | Kwembe | Mabibo | Makuburi | Makurumla | Manzese | Mbezi | Mburahati | Msigani | Saranga | Sinza | Ubungo |
Makala hii kuhusu maeneo ya Dar es Salaam bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Makurumla kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |