Malakia wa Armagh
Malakia wa Armagh (jina asili la Kieire: Máel Máedóc Ua Morgair;; Armagh, Ireland, 1094 - Clairvaux, Ufaransa, 2 Novemba 1148) alikuwa mkaapweke, padri, abati, halafu askofu (1124) wa Cannoret, tena wa Down na Connor, Ireland, alipohuisha maisha ya Kanisa akaanzisha jumuia ya Wakanoni[1].
Akiwa safarini kuelekea Roma, alifariki katika monasteri ya Bernardo wa Clairvaux, aliyeshuhudia kifo chake akaandika maisha yake[2] .
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/37650
- ↑ Grattan-Flood, William (1910). "St. Malachy". The Catholic Encyclopedia. 9. New York: Robert Appleton Company. http://www.newadvent.org/cathen/09565a.htm.
- ↑ Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |