Malko wa Maronia (alifariki Maronia, karibu na Antiokia, leo nchini Uturuki, karne ya 4) alikuwa mkaapweke mwenye asili ya Ugiriki aliyesifiwa sana na Jeromu katika kitabu juu ya maisha yake yaliyojaa juhudi za pekee [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Oktoba[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.