Manuel da Nóbrega

Manuel da Nóbrega, S.J. (18 Oktoba 151718 Oktoba 1570) alikuwa kasisi wa Ureno wa Shirika la Yesu na Mkuu wa kwanza wa shirika hilo katika Brazil ya kikoloni.

Manuel da Nóbrega

Akiwa na Yosefu wa Anchieta, alikuwa na ushawishi mkubwa katika historia ya awali ya Brazil na alishiriki katika kuanzisha miji kadhaa kama Recife, Salvador, Rio de Janeiro, na São Paulo, pamoja na vyuo na seminari nyingi za Wajesuiti.[1]

Marejeo

hariri
  1. Thomas Cohen, "'Who is My Neighbor?' The Missionary Ideals of Manuel da Nobrega", Jesuit Encounters in the New World: Jesuit Chroniclers, Geographers, Educators and Missionaries in the Americas, 1549-1767. Ed. Joseph A. Gagliano, and Charles E. Ronan, S.J., Instituto Storico S.I.: Roma, 1997.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.