Yosefu wa Anchieta
Yosefu wa Anchieta (kwa Kihispania: José de Anchieta y Díaz de Clavijo, S.J.; San Cristóbal de La Laguna, Tenerife, Visiwa vya Kanari, Hispania, 19 Machi 1534 – Reritiba, Brazil, 9 Juni 1597) tangu ujanani alikuwa mmisionari katika koloni la Brazil katika karne ya 16[1].
Pamoja na mwenzake Manuel da Nóbrega alisaidia Waindio wengi kuingia Ukristo[2] na kuwapatanisha na wakoloni Wareno.
Anchieta ni kati ya waanzilishi wa jiji la São Paulo (1554) na Rio de Janeiro (1565) lakini pia wa fasihi ya Kibrazil[3].
Alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mwenye heri tarehe 22 Juni 1980, halafu Papa Fransisko akamtangaza mtakatifu tarehe 3 Aprili 2014[4][5].
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/56550
- ↑ Anchieta is commonly known as "the Apostle of Brazil".
- ↑ With his book Arte de gramática da língua mais usada na costa do Brasil, Anchieta became the first person to provide an orthography to the Old Tupi language most commonly spoken by the indigenous people of Brazil.
- ↑ El Papa convierte hoy al Padre Anchieta en santo
- ↑ José de Anchieta será o terceiro santo do Brasil
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
hariri- Helen Dominian, Apostle of Brazil: The Biography of Padre José Achieta, S.J. (1534–1597) (NY: Exposition Press, 1958)
- Jorge de Lima, Anchieta (Rio de Janeiro: Civilisaçao Brisiliera, 1934)
Viungo vya nje
hariri- (Kihispania) Biography of San José de Anchieta, Diocese of Tenerife Ilihifadhiwa 9 Januari 2016 kwenye Wayback Machine.
- (Kihispania) José de Anchieta, Santo
- (Kihispania) San José de Anchieta
- (Kireno) A Catalog of Anchieta's Works: National Library Foundation, Brazil
- (Kireno) Facsimile reproductions of Anchieta's poems and some of his sources for contrafacta
- (Kireno) Works by José de Anchieta katika Project Gutenberg
- (Kireno) Cartas, Informações, Fragmentos Históricos e Sermões Ilihifadhiwa 4 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.: Facsimile reproduction of the principal collection of Anchieta's published works
- Association for the Canonization of Anchieta
- Images of Anchieta on stamps, seals, and coins Ilihifadhiwa 27 Septemba 2019 kwenye Wayback Machine.
- Works by José de Anchieta katika Project Gutenberg
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |