Margerita wa Cesolo
Margerita wa Cesolo (San Severino, Italia, 1325 - San Severino, 5 Agosti 1395) alikuwa mjane Mkristo wa mji huo aliyeishi hadi uzeeni katika toba kali na kusaidia maskini[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |