Maria Dominika Mazzarello

Maria Dominika Mazzarello (Mornese, 9 Mei 1837Nizza Monferrato, 14 Mei 1881) alikuwa mtawa wa Piemonte, Italia Kaskazini, mwanzilishi wa Mabinti wa Bikira Maria Msaada wa Wakristo pamoja na Yohane Bosco[1].

Mt. Maria Dominika alivyochorwa.

Bikira huyo, ambaye aling’aa kwa unyenyekevu, busara na upendo, alijitolea maisha yake pamoja na shirika lake hilo kwa malezi ya Kikristo ya wasichana fukara [2].

Alitangazwa mwenye heri na Papa Pius XI tarehe 20 Novemba 1938, halafu mtakatifu na Papa Pius XII tarehe 24 Juni 1951.

Sikukuu yake hufanyika tarehe 14 Mei[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.