Maria Eujenia wa Yesu
Maria Eujenia wa Yesu (jina la awali kwa Kifaransa Anne-Eugénie Milleret de Brou; Metz, Moselle, 25 Agosti 1817 – Auteuil, Paris, Île-de-France, 10 Machi 1898) alikuwa mtawa Mfaransa aliyeanzisha shirika la Masista wa Kupalizwa Mbinguni kwa ajili ya kulea wasichana[1][2].
Shirika hilo limeenea hata Tanzania (Arusha).
Alitangazwa mwenye heri na Papa Paulo VI tarehe 9 Februari 1975, halafu mtakatifu na Papa Benedikto XVI tarehe 3 Juni 2007.
Sikukuu yake huadhimishwa na Kanisa Katoliki tarehe 10 Machi.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ "Saint Marie-Eugénie de Jésus". Saints SQPN. 8 Machi 2017. Iliwekwa mnamo 1 Aprili 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Saint Marie-Eugénie de Jésus". Santi e Beati. Iliwekwa mnamo 1 Aprili 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |