Maria wa Mt. Natalia

Maria wa Mt. Natalia (jina la awali Jeanne Marie Guerguin, aliyezaliwa tarehe 4 Mei 1864 huko Belle-Isle-en-Terre, Côtes-du-Nord, Ufaransa ) alikuwa sista wa shirika la Wafransisko Wamisionari wa Maria aliyefia dini China alipokuwa mmisionari wakati wa Uasi wa Waboksa.

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini pamoja na wenzake 119.

Sikukuu yao huadhimishwa kila mwaka tarehe 9 Julai, siku alipouawa mwaka 1900 huko Taiyuan, Shanxi, China.

Tazama pia hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.