Marlene Dietrich (27 Desemba 19016 Mei 1992) alikuwa mwigizaji filamu, mwimbaji na mburudishaji wa Kijerumani. Anafikiriwa kuwa kama msanii wa kwanza wa Kijerumani kupata mafanikio makubwa kabisa katika Hollywood.

Marlene Dietrich

Marlene mnamo 1951
Amezaliwa Marie Magdalene Dietrich
(1901-12-27)27 Desemba 1901
Ujerumani
Amekufa 6 Mei 1992 (umri 90)
Paris, Ufaransa
Kazi yake Mwigizaji
Mwimbaji
Miaka ya kazi 1919-1984
Ndoa Rudolf Sieber
(m.1923-1976; his death)
Watoto Maria Riva, born 13 Desemba 1924 (1924-12-13) (umri 100)
Tovuti rasmi

Katika msafara wake wa usanii, alianza kama mwimbaji wa kawaida na mwitikiaji katika nyimbo na mwigizaji huko mjini Berlin kunako miaka ya 1920 na vilevile katika filamu za Hollywood mnamo miaka ya 1930.

Alicheza filamu nyingi na mwishowe akaja kuwa mburudishaji wa kimataifa kati ya 1950 na 1970. Dietrich pia amekuwa kama mmoja wa waigizaji filamu muhimu sana wa karne ya 20. Taasisi ya filamu ya Marekani imempa cheo cha 9 kuwa kama mwigizaji bora filamu wa kike kwa muda wote (miaka mia moja).

Filamu alizoigiza

hariri
  • Im Schatten des Glücks (1919)
  • Love Tragedy (1923)
  • The Little Napoleon (1923)
  • Man by the Wayside (1923)
  • Leap Into Life (1924)
  • Dance Mad (1925)
  • The Bogus Baron (1926)
  • Manon Lescaut (1926)
  • Madame Doesn't Want Children (1926)
  • A Modern DuBarry (1927)
  • Chin Up, Charley! (1927)
  • His Greatest Bluff (1927)
  • Cafe Electric (1927)
  • Princess Olala (1928)
  • Dangers of the Engagement Period (1929)
  • I Kiss Your Hand Madame (1929)
  • The Woman One Longs For (1929)
  • The Ship of Lost Men (1929)
  • The Blue Angel (1930)
  • Morocco (1930)
  • Dishonored (1931)
  • Shanghai Express (1932)
  • Blonde Venus (1932)
  • The Song of Songs (1933)
  • The Scarlet Empress (1934)
  • The Fashion Side of Hollywood (1935) (short subject)
  • The Devil is a Woman (1935)
  • I Loved a Soldier (1936) (unfinished)
  • Desire (1936)
  • The Garden of Allah (1936)
  • Knight Without Armour (1937)
  • Angel (1937)
  • Destry Rides Again (1939)
  • Seven Sinners (1940)
  • The Flame of New Orleans (1941)
  • Manpower (1941)
  • The Lady Is Willing (1942)
  • The Spoilers (1942)
  • Pittsburgh (1942)
  • Show Business at War (1943) (short subject)
  • Follow the Boys (1944)
  • Kismet (1944)
  • Martin Roumagnac (1946)
  • Golden Earrings (1947)
  • A Foreign Affair (1948)
  • Jigsaw (1949) (cameo)
  • Stage Fright (1950)
  • No Highway in the Sky (1951)
  • Rancho Notorious (1952)
  • The Monte Carlo Story (1956)
  • Around the World in Eighty Days (1956) (cameo)
  • Witness for the Prosecution (1957)
  • Touch of Evil (1958)
  • Judgment at Nuremberg (1961)
  • Black Fox: The True Story of Adolf Hitler (1962) (documentary) (narrator)
  • Paris, When It Sizzles (1964) (cameo)
  • An Evening With Marlene Dietrich (I Wish You Love) (1972) London concert film
  • Just a Gigolo (1979)
  • Marlene (1984) (documentary

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marlene Dietrich kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.