Marselo wa Konstantinopoli

Marselo wa Konstantinopoli (Apamea, Sirya, karne ya 5Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, 485) alikuwa mmonaki, halafu abati wa tatu wa monasteri ya Waakemeti jijini Konstantinopoli walioimba Zaburi mfululizo usiku na mchana.[1]

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Desemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Alban Butler, Il primo grande dizionario dei santi secondo il calendario, 2001, Ed. PIEMME S.p.A., Casale Monferrato, ISBN 88-384-6913-X
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.