Marsiana wa Mauretania
Marsiana wa Mauretania alikuwa bikira Mkristo wa Russucur (leo Dellys katika Algeria) aliyefia dini yake kwa kutupwa kwa wanyamapori katika kiwanja cha michezo cha Cherchell wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian na Maximian Herculeus mwaka 303[1][2][3].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Julai[4], lakini pia 9 Januari.
Tazama piaEdit
TanbihiEdit
- ↑ St. Marciana - Catholic Online
- ↑ https://catholicsaints.info/book-of-saints-marciana-9-January
- ↑ Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-11-05. Iliwekwa mnamo 2019-09-12.
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya njeEdit
- Saints of January 9: Marciana Archived 5 Novemba 2007 at the Wayback Machine.
- Catholic Online
- St. Marciana – January 7
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |