Marsiano, Nikandro na wenzao

Marsiano, Nikandro na wenzao Apolonio, Leonida, Areyo, Gorjo, Iperkio, Selenio, Irene na Pamboni (walifariki Misri mwishoni mwa karne ya 3) ni Wakristo waliofia imani yao wakati wa dhuluma ya Dola la Roma.

Kisha kuteswa kikatili, walifungwa ndani ya uzio hadi wakafa kutokana na jua kali, kiu na njaa[1]

Tangu kale wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao inaadhimishwa kila mwaka tarehe 5 Juni[2][3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.