Masedoni, Patrisia na Modesta

Masedoni, Patrisia na Modesta (walifariki Nikomedia, leo Izmit nchini Uturuki) walikuwa familia ya Kikristo wa mji huo ambao waliuawa wakati wa dhuluma ya Dola la Roma [1].

Masedoni alikuwa padri, Patrisia mke wake na Modesta binti yao.

Tangu kale wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao inaadhimishwa kila mwaka tarehe 13 Machi[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.