Masimiano wa Ravenna
Masimiano wa Ravenna (Pula, leo nchini Croatia, 499 - Ravenna, Emilia-Romagna, Italia, 22 Februari 556 hivi) alikuwa askofu wa 28 wa mji huo wa Italia Kaskazini akawa askofu mkuu wake wa kwanza kwa miaka kumi hadi kifo chake[1].
Alifanya vizuri uchungaji na alidumisha umoja wa Kanisa kwa kupinga Uario.
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Februari[2].
Tazama pia
haririTanbihi
haririMarejeo
hariri- Andreas Agnellus of Ravenna. The Book of Pontiffs of Ravenna, trans. Deliyannis Mauskopf. Washington, DC: Catholic University of America Press, 2004.
- Schapiro, Meyer, "The Joseph Scenes on the Maximianus Throne", in Selected Papers, volume 3, Late Antique, Early Christian and Mediaeval Art, 1980, Chatto & Windus, London, ISBN|0701125144, also on JSTOR from the Gazette des Beaux-Arts, 1952
- Otto von Simson. Sacred Fortress: Byzantine Art and Statecraft in Ravenna. Princeton, New Jersey: Princeton University Press, 1987.
Viungo vya nje
hariri- Saint Patrick's Church Ilihifadhiwa 30 Desemba 2019 kwenye Wayback Machine.
- His contribution to the iconography of the Ravenna mosaics Ilihifadhiwa 23 Desemba 2019 kwenye Wayback Machine.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |