Masimo wa Kaisarea

Masimo wa Kaisarea (Kaisarea wa Kapadokia, leo nchini Uturuki, karne ya 3 hivi) alikuwa padri korepiskopo aliyeuawa kwa imani ya Kikristo katika dhuluma ya Dola la Roma[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Novemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. santiebeati.it/dettaglio/78260
  2. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.