Masimo wa Nola
Masimo wa Nola alikuwa askofu wa Kanisa huko Nola, karibu na Napoli, Italia katika karne ya 3[1].
Alijitahidi kuokoa waumini wake wakati wa dhuluma ya kaisari Decius, na baada ya miaka mingi ya uchungaji akafariki kwa amani,alivyosimulia mwandamizi wake Paulino wa Nola.
Tangu kale ametambuliwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kuwa mtakatifu.
Sikukuu yake ni tarehe 7 Februari[2].
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |