Elgin Turner (amezaliwa tar. 8 Agosti 1969) ni msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Masta Killa. Huyu ni mmoja kati ya wanaounda kundi zima la muziki wa hip hop la Wu-Tang Clan. Japokuwa yeye ni miongoni mwa wanachama ambao wanajulikana kidogo sana kundini (amepata kushirkishwa kwenye wimbo mmoja tu wa katika albamu yao ya kwanza ya mwaka wa 1993, Enter the Wu-Tang (36 Chambers)), kwa kufuatia kuwekwa kando kwenye matayarisha kibao ya albamu, amepata kushiriki kwenye kazi za albamu za kundi na za kujitegemea tangu katikati mwa miaka ya 1990, na kuweza kutoa albamu yake ya kwanza kunako mwaka wa 2004, No Said Date, na kupata tathmini nzuri na waainishaji wa muziki.

Masta Killa
Masta Killa, mjini Paris
Masta Killa, mjini Paris
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Elgin Turner
Pia anajulikana kama MC Killa, Noodles, Jamal Irief
Amezaliwa 18 Agosti 1969 (1969-08-18) (umri 54)
Asili yake Brooklyn, New York City, New York
Aina ya muziki Hip hop
Kazi yake Rapa
Miaka ya kazi 1990–mpaka sasa
Studio Loud Records
Nature Sounds
Ame/Wameshirikiana na Wu-Tang Clan
Tovuti mastakilla

Diskografia hariri

Mwaka Jina Chati[1][2] Matunukio ya RIAA[3]
U.S. Hot 100 U.S. R&B U.S. Rap
2004 No Said Date 136 31
2006 Made in Brooklyn 176 42 23

Marejeo hariri

Viungo vya Nje hariri


  Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Masta Killa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.