Mathias E. Mnyampala

Mshairi,muandishi na mwanasheria wa Tanzania
(Elekezwa kutoka Mathias Mnyampala)

Mathias E. Mnyampala (Muntundya Ihumwa, Wilaya ya Chamwino, mkoa wa Dodoma, 18 Novemba 1917 - mjini Dodoma, 8 Juni 1969) alikuwa mwanasheria, mzalendo wa Taifa la Tanzania na lugha yake Kiswahili, mwandishi na mshairi maarufu.

Mathias E. Mnyampala.

Mnyampala aliandika zaidi ya vitabu 25.

Kwa maoni ya Profesa Madumulla, Mathias E. Mnyampala sasa hivi nchini Tanzania ni Jabali Lililosahaulika. Utafiti haujakaa kimya kuhusu kazi yake upande wa Ushairi wa Kiswahili na Historia ya Wagogo wa Tanganyika. Lakini bado matokeo yake yanahitaji kuenezwa.

Vitabu vichache vya Mathias E. Mnyampala

hariri
  • Mnyampala, M. E. (1954). Historia, mila, na desturi za Wagogo wa Tanganyika. Eagle Press.
  • Mnyampala, M. (1962). Utenzi wa Enjili Takatifu. Ndanda Mission Press.
  • Mnyampala, M. E. (1963). Diwani ya Mnyampala (Vol. 5). East African Literature Bureau.
  • Mnyampala, M. E. (c. 1968, mswada huajachapishwa). Azimio la Arusha na Maandiko Matakatifu.
  • Mnyampala, M. E. (1970). Ngonjera za ukuta. Oxford University Press.
  • Shihabdin Chiraghdin na Mathias E. Mnyampala (1977). Historia ya Kiswahili. Oxford University Press.
  • Mnyampala, M. E. (1995). Maddox, G. H. The Gogo: history, customs, and traditions. ME Sharpe Inc.
  • Mnyampala, M. E. (2011). Historia ya Hayati Sheikh Kaluta Amri Abedi (1924-1964). Ahmadiyya Printing Press. Dar es Salam. Tanzania. ISBN 9789976891645. 109 p.
  • Mnyampala, M. E. (2013). Toleo la Kwanza. Maisha ni kugharimia. DL2A - Buluu Publishing. France. ISBN 9791092789027. 112 p. [Google Books]
  • Mnyampala, M. E. (2014). Ugogo na ardhi yake. DL2A - Buluu Publishing. France. ISBN 9791092789201. 112 p. [Google Books]

Kujua zaidi kuhusu Mathias E. Mnyampala

hariri
 
WikiMedia Commons
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mathias E. Mnyampala kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.