Mbiu ya Pasaka
Mbiu ya Pasaka ni utenzi maalumu unaoimbwa na shemasi katika kesha la usiku wa Pasaka akiwa kwenye mimbari, karibu na mshumaa wa Pasaka.[1]
Utenzi huo ni maarufu kwa jina la Exsultet (yaani Ifurahi) kutokana na neno la kwanza katika lugha asili, ambayo ni Kilatini.
Kuna ushahidi wa uwepo wake mwishoni mwa karne ya 4.
Kutokana na uzuri wake, Wolfgang Mozart alisema: "Ningetoa miziki yote niliyoitunga kama ningeweza kuwa mtunzi wa Exsultet!"
Tanbihi
haririViungo vya nje
hariri- Illuminated Manuscript of a Medieval Exultet from Bari in Italy
- "Exultet". Catholic Encyclopedia. Iliwekwa mnamo 2007-02-18.
- Chant notation from the 1970 Missale Romanum. Church Music Association of America. Retrieved on 2007-03-31.
- Post 2010 Version of the Exsultet Ilihifadhiwa 9 Aprili 2015 kwenye Wayback Machine. as published by the ICEL