Kwa matumizi tofauti ya jina hili angalia Mbweni, Kinondoni

Mbweni ni mji unaopatikana kisiwani Unguja, nchini Tanzania, pwani ya kati magharibi, kilomita saba kusini mwa mji mkuu na mkongwe wa Zanzibar.[1]

Ni mji wenye safari nyingi za watalii na wenyeji. Vivutio vya Mbweni, bustani za maua na magofu ya karne ya 19 ya Wakristo.

Ni kata ya Wilaya ya Unguja Magharibi B. Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 9,164 [2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Finke, J. (2006) The Rough Guide to Zanzibar (2nd edition). New York: Rough Guides
  Kata za Wilaya ya Unguja Magharibi B - Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja - Tanzania  

Bweleo | Chukwani | Chunga | Dimani | Fumba | Fuoni Kipungani | Fuoni Migombani | Jitimai | Kibondeni | Kiembesamaki | Kijitoupele | Kinuni | Kisauni | Kombeni | Kwa Mchina | Magogoni | Mambosasa | Maungani | Mbweni | Melinne | Michungwani | Mikarafuuni | Mnarani | Mombasa | Muembe Majogoo | Mwanakwerekwe | Nyamanzi | Pangawe | Shakani | Sokoni | Taveta | Tomondo | Uwandani | Uzi


  Makala hii kuhusu maeneo ya Unguja bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mbweni, Zanzibar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.