Mena wa Molise (alifariki katika mkoa wa Molise, Italia, 3 Novemba, 583 hivi) alikuwa mkaapweke kutoka familia tajiri ya Vitulano, Benevento, ambaye habari zake ziliandikwa na Papa Gregori I.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 11 Novemba[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.