Wizara ya Nishati na Madini
(Elekezwa kutoka Ministry of Energy and Minerals)
Wizara ya Nishati na Madini (kwa Kiingereza: Ministry of Energy and Minerals; kifupi (MEM)) ilikuwa wizara ya serikali nchini Tanzania.
Wizara ya Nishati na Madini English: Ministry of Energy and Minerals | |
---|---|
Mamlaka | Tanzania |
Makao Makuu | Samora Avenue, Dar es Salaam |
Waziri | Sospeter Muhongo |
Naibu Waziri | Stephen Masele |
Katibu Mkuu | Eliachim Maswi |
Tovuti | mem.go.tz |
Ofisi kuu za wizara hii zilikuwa jijini Dar es Salaam.
Tarehe 7 Oktoba 2017 John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa awamu ya tano, aliivunja wizara hii na kuifanya kuwa wizara mbili tofauti: Wizara ya Nishati na Wizara ya Madini, na tarehe 9 Oktoba 2017 aliweza kuwaapisha rasmi mawaziri na naibu mawaziri wa wizara hizo.
Marejeo
haririTazama pia
haririViungo vya nje
hariri- Tovuti Ilihifadhiwa 30 Januari 2018 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |