Mirope wa Kio (alifariki Kio, kisiwa cha Ugiriki, 251 hivi) alikuwa mwanamke Mkristo aliyeuawa kwa sababu ya imani yake katika dhuluma ya kaisari Decius[1].

Ndiyo maana anaheshimiwa tangu zamani na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake inaadhimishwa ama tarehe 13 Julai[2] ama 2 Desemba ama 4 Desemba.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/62320
  2. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.