Kiazi kikuu

(Elekezwa kutoka Mkikwa)
Kiazi kikuu
(Dioscorea spp.)
Mmea wa kiazi kikuu
Mmea wa kiazi kikuu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Monocots (Mimea ambayo mche wao una jani moja)
Oda: Dioscoreales (Mimea kama kiazi kikuu)
Familia: Dioscoreaceae (Mimea iliyo na mnasaba na kiazi kikuu)
Jenasi: Dioscorea
Plum. ex L.
Spishi: D. alata L.

D. bulbifera L.
D. cayennensis Lam.
D. dumetorum (Kunth) Pax
D. esculenta (Lour.) Burkill
D. hirtiflora Benth.
D. opposita Thunb.
D. rotundata Poir.
D. trifida L.f.

Viazi vikuu au mitubwi (Kiing.: yam) ni mimea ya chakula iliyoainishwa katika familia Dioscoreaceae. Chakula ni sehemu nene za mizizi yake (kiazi) yenye wanga. Kiazi kikuu ni kubwa sana kuliko kiazi cha kizungu na hata kiazi kitamu. Mimea yake inapanda juu ya mimea au miti ingine na hupandwa mahali pengi pa Afrika, Asia, Amerika ya Kusini, Visiwa vya Karibi na Visiwa vya Pasifiki.

Spishi

hariri