Mkoa wa Grands-Ponts
Mkoa wa Grands-Ponts (kwa Kifaransa: Région des Grands-Ponts) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.
Mkoa wa Grands-Ponts | |
Mahali pa Mkoa wa Grands-Ponts (kijani) katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Lagunes |
|
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Lagunes |
Serikali[1] | |
- Prefect | Kouakou Assoman |
- Rais wa Baraza | Joseph Gabriel Yace |
Eneo[2] | |
- Jumla | 5,500 km² |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 356,495 |
GMT | (UTC+0) |
Uko katika Kusini ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Dabou. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 356,495.
Marejeo
hariri- ↑ "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
- ↑ "Grands-Ponts" Ilihifadhiwa 5 Novemba 2016 kwenye Wayback Machine., gouv.ci, accessed 23 February 2016.
Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Grands-Ponts kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |