Mkoa wa Helwan (Kiarabu: محافظة حلوان‎) ni mkoa moja Misri. Idadi ya wakazi wake ni takriban 643,327. Mji mkuu ni Helwan.

Sehemu ya Mkoa wa Helwan


Makala hii kuhusu maeneo ya Misri bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Helwan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.