Mkoa wa Damietta (Kiarabu: محافظة دمياط‎) ni mkoa moja Misri. Idadi ya wakazi wake ni takriban 1,092,316. Mji mkuu ni Damietta.

Sehemu ya Mkoa wa Damietta


Makala hii kuhusu maeneo ya Misri bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Damietta kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.