Mkoa wa Luxor

Mkoa wa Luxor (Kiarabu: الأقصر‎) ni mkoa moja Misri. Idadi ya wakazi wake ni takriban 451,318. Mji mkuu ni Luxor.

Mkoa wa Luxor
Mkoa wa Luxor
الأقصر‎

Bendera
Mahali pa Mkoa wa Luxor katika Misri
Mahali pa Mkoa wa Luxor katika Misri
Majiranukta: 25°41′N 32°39′E / 25.683°N 32.65°E / 25.683; 32.65
Nchi Misri
mji mkuu Luxor
Eneo
 - Mkoa 55 km²
Idadi ya wakazi (2006)
 - 451,318
Tovuti: http://www.luxor.gov.eg/


Flag-map of Egypt.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Misri bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Luxor kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.