Mkoa wa Behera (Kiarabu: ‏محافظة البحيرة‎) ni mkoa moja Misri. Idadi ya wakazi wake ni takriban 4,737,129. Mji mkuu ni Damanhur.

Mkoa wa Beheira
‏محافظة البحيرة‎

Bendera
Mahali paMkoa wa Beheira ‏محافظة البحيرة‎
Mahali paMkoa wa Beheira
‏محافظة البحيرة‎
Mahali pa Mkoa wa Beheira katika Misri
Majiranukta: 31°10′N 29°53′E / 31.167°N 29.883°E / 31.167; 29.883
Nchi Misri
mji mkuu Damanhur
Eneo
 - Jumla 10,130 km²
Idadi ya wakazi (2006)
 - Wakazi kwa ujumla 4,737,129
Tovuti:  http://www.behera.gov.eg/


Makala hii kuhusu maeneo ya Misri bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Beheira kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.