Mkoa wa Bonde la Mpya


Mkoa wa Bonde la Mpya (Kiarabu: الوادى الجديد‎) ni mkoa moja Misri. Idadi ya wakazi wake ni takriban 187,256. Mji mkuu ni Kharga.


Makala hii kuhusu maeneo ya Misri bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Bonde la Mpya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.