Mkoa wa Faiyum

Mkoa wa Faiyum (Kiarabu: محافظة الفيوم‎) ni mkoa moja Misri. Idadi ya wakazi wake ni takriban 2,512,792. Mji mkuu ni Faiyum.

Sehemu ya Mkoa wa Faiyum
Mkoa wa Faiyum
محافظة الفيوم

Bendera
Mahali pa Mkoa wa Faiyum katika Misri
Mahali pa Mkoa wa Faiyum katika Misri
Majiranukta: 29°21′N 30°44′E / 29.35°N 30.733°E / 29.35; 30.733
Nchi Misri
mji mkuu Faiyum
Eneo
 - Mkoa 1,827 km²
Idadi ya wakazi (2006)
 - 2,512,792


Flag-map of Egypt.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Misri bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Faiyum kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.