Mkoa wa Moronou
Mkoa wa Moronou (kwa Kifaransa: Région du Moronou) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.
Mkoa wa Moronou | |
Mahali pa Mkoa wa Moronou (kijani) katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Lacs |
|
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Lacs |
Serikali[1] | |
- Prefect | Nemlin Houande Henriette Epse Diahi Nessero |
- Rais wa Baraza | Aka Amanan Véronique |
Eneo[2] | |
- Jumla | 5,570 km² |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 352,616 |
GMT | (UTC+0) |
Uko katikati ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Bongouanou. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 352,616.
Marejeo
hariri- ↑ "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
- ↑ "Moronou" Archived 5 Novemba 2016 at the Wayback Machine., gouv.ci, accessed 23 February 2016.
Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Moronou kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |