Wilaya ya Bongouanou

Wilaya ya Cote d'Ivoire


auto

Wilaya ya Bongouanou (kwa Kifaransa: département de Bongouanou) ni moja kati ya Wilaya tatu za Mkoa wa Moronou ulioko katikati mwa Cote d'Ivoire.

Wilaya ya Bongouanou
Mahali paWilaya ya Bongouanou
Mahali paWilaya ya Bongouanou
Eneo la Wilaya ya Bongouanou.
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Lacs
Mkoa Moronou
Serikali[1]
 - Prefect Nemlin Houande Henriette Epse Diahi Nessero,
Idadi ya wakazi (2014)
 - Wakazi kwa ujumla 165,307
GMT (UTC+0)

Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 165,307 .

Makao makuu ya eneo hilo ni Bongouanou.

Wilaya ya Bongouanou sasa imegawanywa katika tarafa zifuatazo:

Marejeo

hariri
  1. "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.