Mlima Gessi uko katika safu ya milima ya Ruwenzori, kwenye mpaka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Uganda (Afrika).

Mlima Gessi katika Safu ya Milima ya Ruwenzori

Mlima huo ulipata jina lake kutoka kwa Mwitalia Romolo Gessi (1831 - 1881) aliyekuwa mtafiti wa chanzo cha mto Nile.[1][2]

Kilele cha juu cha Mlima Gessi ni Lolanda (mita 4,715 juu ya usawa wa bahari), halafu Bottego (mita 4699).[2]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "Climbing Mount Gessi". Rwenzori Mountains (kwa en-US). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-06-02. Iliwekwa mnamo 2019-06-02. 
  2. 2.0 2.1 "Mount Gessi | Rwenzori Mountaineering Service" (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2019-06-02. 

Marejeo hariri

  • Merriam-Webster's Geographical Dictionary, Third Edition. Springfield, Massachusetts: Merriam-Webster, Incorporat]]ed, 1997. ISBN 0-87779-546-0.