Mlima Suswa ni volkeno ya kale yenye kimo cha mita 2356 juu ya UB. Volkano iko kwenye Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki, kati ya kaunti ya Narok na kaunti ya Kajiado. [1]

Ramani ya miinuko ya Kenya.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Suswa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-07-05. Iliwekwa mnamo 2020-07-21.