Mtango wa Afrika

(Elekezwa kutoka Momordica)
Mtango wa Afrika
Tango-zeri likionyesha mbegu zilizopambika kwa mpako kama ute (Momordica balsamina)
Tango-zeri likionyesha mbegu zilizopambika kwa mpako kama ute
(Momordica balsamina)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Cucurbitales (Mimea kama mboga)
Familia: Cucurbitaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mboga)
Jenasi: Momordica
L.
Spishi: Zilizochaguliwa:

Mitango ya Afrika ni spishi za mimea za Afrika kwenye jenasi Momordica katika familia Cucurbitaceae. Matunda yao yanafanana na matango na kwa kawaida yana rangi ya nyekundu au ya machungwa yakiwa yameiva. Mbegu zao zimepambika kwa mpako mwekundu kama upepe wa maharagwe.

Spishi za Afrika zilizochaguliwa

hariri