Monica Sagna
mchezo wa Judo uko Senegal
Monica Sagna (alizaliwa 10 Juni 1991) ni mwanamke mwanamichezo wa judo[1] kutoka Senegal. Yeye ni mshindi wa medali mara tatu, ikiwa ni pamoja na dhahabu, katika Michezo ya Afrika. Pia ameshinda medali nyingi katika Mashindano ya Judo ya Afrika.
Kazi
haririAliibuka na moja ya medali za shaba katika tukio la wanawake la +78 kg katika Michezo ya Afrika ya mwaka 2019 iliyofanyika Rabat, Moroko.[2]
Mwaka 2020, alishinda moja ya medali za shaba katika tukio la wanawake la +78 kg katika Mashindano ya Judo ya Afrika yaliyofanyika Antananarivo, Madagascar.[3]
Katika Mashindano ya Judo ya Afrika ya mwaka 2021 yaliyofanyika Dakar, Senegal, pia alishinda moja ya medali za shaba katika tukio lake.[4]
Mafanikio
haririMwaka | Mashindano | Sehemu | Matokeo | Tukio |
---|---|---|---|---|
Representing Senegal | ||||
2010 | African Championships | Yaounde, Cameroon | 3rd | Heavyweight (+78 kg) |
7th | Open category | |||
2011 | African Championships | Dakar, Senegal | 3rd | Open category |
All-Africa Games | Maputo, Mozambique | 3rd | Heavyweight (+78 kg) | |
2012 | African Championships | Agadir, Morocco | 3rd | Open category |
2013 | African Championships | Maputo, Mozambique | 5th | Heavyweight (+78 kg) |
Francophone Games | Nice, France | 3rd | Heavyweight (+78 kg) | |
2014 | African Championships | Port Louis, Mauritius | 5th | Heavyweight (+78 kg) |
3rd | Open category | |||
2015 | African Championships | Libreville, Gabon | 3rd | Heavyweight (+78 kg) |
3rd | Open category | |||
All-Africa Games | Brazzaville, Congo | 5th | Heavyweight (+78 kg) | |
2016 | African Championships | Tunis, Tunisia | 3rd | Heavyweight (+78 kg) |
3rd | Open category | |||
2017 | African Championships | Kigezo:Country data MAD Antananarivo, Madagascar | 3rd | Heavyweight (+78 kg) |
3rd | Open category | |||
2018 | African Championships | Tunis, Tunisia | 3rd | Heavyweight (+78 kg) |
2nd | Open category | |||
2019 | African Games | Rabat, Morocco | 3rd | Heavyweight (+78 kg) |
2020 | African Championships | Kigezo:Country data MAD Antananarivo, Madagascar | 3rd | Heavyweight (+78 kg) |
2021 | African Championships | Dakar, Senegal | 3rd | Heavyweight (+78 kg) |
Marejeo
hariri- ↑ "Monica Sagna". JudoInside.com. Iliwekwa mnamo 19 Desemba 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "2019 African Games Judo Medalists". International Judo Federation. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 20 Agosti 2020. Iliwekwa mnamo 20 Agosti 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "2020 African Judo Championships". African Judo Union. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 26 Desemba 2020. Iliwekwa mnamo 26 Desemba 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Houston, Michael. "Rouhou reclaims title on final day of African Judo Championships", InsideTheGames.biz, 23 May 2021.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Monica Sagna kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |