Montani na Masima (waliuawa Srijem, leo nchini Korasya, 304 hivi) walikuwa Wakristo waliouawa kwa ajili ya imani yao katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano[1].

Montani alikuwa padri na Masima mke wake. Wapagani waliwatosa pamoja baharini.

Tangu kale wanaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 26 Machi.[2]

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/92427
  2. Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana, 2001, ISBN 88-209-7210-7)
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.