Morisi Duaod

Cistercin abbot
(Elekezwa kutoka Morisi wa Carnoet)

Morisi Duaod, O.Cist. (pia: Maurice; Croixanvec, Bretagne, katika Ufaransa wa leo, 1115 hivi – Carnoet, Bretagne, 29 Septemba 1191) alikuwa padri ambaye bado kijana alijiunga na wamonaki Wasitoo huko Langonnet akawa abati wao. Baadaye akaanzisha monasteri nyingine huko Carnoet [1] akaiongoza hadi kifo chake [2].

Bikira Maria na Mtoto Yesu (kushoto) na Mt. Morisi (kulia) katika dirisha la kioo cha rangi huko Clohars-Fouesnant.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Septemba.[3]

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • Daniel Andrejewski, Saint-Maurice, abbé de Langonnet et Carnoët, 1980
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.