Msufini Tanzania Limited

Msufini Tanzania Limited (MTL) ni watengenezaji wa klorini na hidroksidi sodiamu nchini Tanzania. Kemikali zote mbili hutumiwa katika kuzuia bakteria kuingia kwenye maji, kwa matumizi ya binadamu, matumizi ya wanyama na katika mabwawa ya kuogelea. Bidhaa za kampuni hii zinatarajiwa kuisaidia mamlaka za maji za Tanzania kuokoa hela nyingi kwani dawa za maji zitapatikana ndani ya nchi badala ya kuagiza nje ya nchi.[1]

Mahali

hariri

Kiwanda kikuu cha kampuni hii kipo Mlandizi, Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, takribani km 145 kutoka kwenye barabara ya kusini magharibi mwa Bagamoyo, eneo la makao makuu ya wilaya.[2] Mlandzi iko karibu km 54 mwa barabara, kaskazini magharibi mwa jiji la Dar es Salaam, jiji kubwa na mji mkuu wa kifedha wa Tanzania.[3].

Ujenzi

hariri

Gharama za kujenga kiwanda hichi zilipangwa kuwa TSh bilioni 256 (takriban Dola za kimarekani milioni 112). Ujenzi ulianza mnamo 25 Aprili 2018, na kukadiriwa kumalizika ndani ya miaka miwili.

Marejeo

hariri
  1. Daily News Reporter (25 Aprili 2018). "Construction of water chemical factory kicks off". Tanzania Daily News. Dar es Salaam. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-08-17. Iliwekwa mnamo 26 Aprili 2018. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Globefeed.com (26 Aprili 2018). "Travel Distance between Mlandizi, Tanzania and Bagamoyo, Tanzania". Globefeed.com. Iliwekwa mnamo 26 Aprili 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Globefeed.com (26 Aprili 2018). "Distance between Mlandizi, Tanzania and Dar es Salaam, Tanzania". Globefeed.com. Iliwekwa mnamo 26 Aprili 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Msufini Tanzania Limited kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.