Mtanzania (gazeti)
Mtanzania ni gazeti la kila siku kutoka Dar es Salaam nchini Tanzania linalotolewa kwa lugha ya Kiswahili. Ni gazeti mojawapo linaloandikwa kwa Kiswahili lenye wasomaji wengi katika Tanzania.
Mtanzania | |
---|---|
Jina la gazeti | Mtanzania |
Nchi | Tanzania |
Makao Makuu ya kampuni | Dar es Salaam |
Tovuti | https://mtanzania.co.tz/ |
Gazeti hili ni mali ya kampuni ya hisa ya New Habari Limited.
Magazeti dada
hariri- Taifa Leo
- Habari Leo
- Nipashe
- Saturday Nation
- Sunday Nation
- Business Daily Africa
- Daily nation Kenya
- Daily Monitor Uganda
- The Citizen (Tanzania)
- Mwananchi Tanzania
Marejeo
hariri- Sanga, A. N. (2018). Mkengeuko wa ujumi wa kiafrika katika hadithi fupi andishi za kiswahili kipindi cha utandawazi: Mifano kutoka magazeti ya Habari Leo, Nipashe na Mwananchi (Doctoral dissertation, Chuo Kikuu cha Dodoma).