Ricarda Winkelmann hariri

Ricarda Winkelmann (alizaliwa 1985[1][2]) ni mwanahisabati wa ujerumani, mwanafizikia na mtaalamu wa maswala ya tabia nchi. Pia ni profesa wa uchambuzi wa hali ya hewa katika chuo kikuu cha Potsadam na shirika la uchunguzi wa athari ya hali ya hewa la Potsdam. Ricarda Winkelmann alisomea elimu ya hali ya hewa, ardhi, barafu na bahari[1].

Alitunukiwa Tuzo ya Karl Scheel ya mwaka 2017.

Elimu hariri

Winkelmann alitunukiwastashahada ya uzamili wa fizikia kutoka katika taasisi ya Potsdam ya inayojihusisha na masuala ya hali ya hewa.

Marejeo hariri

  1. 1.0 1.1 ""Sie hat eine ungeheure Neugier"". (de) 
  2. Ronja Kolls. "Ricarda Winkelman profile", Tagesspiegel, 17 Sep 2020. 

Ulrike Lohmann hariri

Ulrike Lohmann ni mtafiti wa hali ya hewa na profesa wa fizikia ya anga katika ETH Zurich. Ulrike Lohmann anafahamika kutokana na utafiti wake wa chembe za aerosol kwenye mawingu.

Maisha Ya Awali, Elimu Na Kazi hariri

She received her doctorate in 1996 at the Max Planck Institute for Meteorology

Lohmann akitokea Kiel kama binti wa mwalimu na mwanasiasa katika Chama cha Kijamaa cha Kidemokrasia cha Ujerumani [1]. Lohmann alijitolea kwa mwaka mmoja katika kijiji cha watoto cha SOS nchini Nigeria,kisha akasomea etnolojia na jiografia. Ulrike Lohman alichochewa na ripoti za mazingira kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa, alisomea meteorolojia katika Chuo Kikuu cha Mainz kuanzia mwaka 1988 hadi 1993[1][2].Lohmann alipokea udaktari wa hali ya hewa katika Taasisi ya Max Planck mwaka 1996[3].

Awali, alifanya kazi kama msaidizi wa profesa na profesa msaidizi wa sayansi ya angahewa katika Chuo Kikuu cha Dalhousie[2] She has been a full professor of atmospheric physics at the Institute for Atmosphere and Climate at ETH Zurich since 2004.[2]. Tangu mwaka 2004, amekuwa profesa kamili wa fizikia ya angahewa katika Taasisi ya Angahewa na Hali ya Hewa ETH Zurich[2] She has been a full professor of atmospheric physics at the Institute for Atmosphere and Climate at ETH Zurich since 2004.[2].

Utafiti hariri

Machapisho hariri

Tuzo hariri

  • Mwanachama aliyechaguliwa, Chuo cha Kitaifa cha Sayansi cha Ujerumani, Leopoldina(2014).
  • Shahada ya heshima ya udaktari kutoka Chuo Kikuu cha Stockholm (2018).

Maisha binafsi hariri

Lohmann anaishi katika ziwa la Zurich na shauku yake ni michezo ya uvumilivu na kuogelea

Marejeo hariri

  1. 1.0 1.1 "Die Wolkenfrau", Der Bund, August 31, 2019. (de) 
  2. 2.0 2.1 2.2 2.3 2.4 Switzerl, Address ETH Zürich Dep of Environmental Systems Science Prof Dr Ulrike Lohmann Institut für Atmosphäre und Klima CHN O. 11 Universitätstrasse 16 8092 Zürich. "Lohmann, Ulrike, Prof. Dr. | ETH Zurich". usys.ethz.ch (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 10 September 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. Kigezo:Cite thesis