Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Anuary Rajabu (majadiliano) 09:58, 21 Mei 2023 (UTC)Reply

Ndugu, legeza mwendo ili kuunda makala za kueleweka zaidi, la sivyo itanibidi kukusimamisha. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:34, 7 Novemba 2023 (UTC)Reply
Mbona husikii? Umeandika Oleksii Shliakotin ameolewa na mwanamke. Kweli? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:52, 8 Novemba 2023 (UTC)Reply
kweli kabisa nimepitia makala zako @AlvinDulle ulichoandika hakieleweki rekebisha makala zako kwanza na uhakikishe unachoandika kinaeleweka amani kwako Hussein m mmbaga (majadiliano) 14:10, 8 Novemba 2023 (UTC)Reply
Sawa wakuu tatzo nadharia ya watanzania tunajua kwamba wanawake ndio wanaoa wanaume...
thanks i will do my best @Anuary Rajabu@Riccardo Riccioni@Hussein m mmbaga AlvinDulle (majadiliano) 08:16, 9 Novemba 2023 (UTC)Reply
Makosa madogo tyu Account inablokiwa mwaka mzma, angalau ni bora kusema ni kosa gani nimefanya maana hata nkitazama ni makosa madogo ambayo narudia kila sku kuyarekebisha...
But Thanks Makala chache zmenfungia account yenye makala zaid ya 700...
Nittasubiria Tu Sku Ikufunguka Inshaallah
  1. Wikimedia #Wikimedia #wikimedia
@Riccardo Riccioni AlvinDulle (majadiliano) 09:50, 20 Novemba 2023 (UTC)Reply

Ndugu, kwanza tunajiuliza kama wewe unajua lugha yetu au la. Halafu, ulipoonywa na wakabidhi wawili na kufungiwa siku tatu, walau ungerekebisha makala zako za awali. Kumbe, umeanza upya vilevile. Afadhali uahidi kupitia upya makala hizo 700 ili tukufungulie. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:32, 20 Novemba 2023 (UTC)Reply

Asante ndugu @Riccardo Riccioni Naomba Nifunguliwe nifanye marekebisho makala zote kuanzia ya mwisho hizo za juzi na nyinginezo nyingi..
Na naweka ahadi sitachapicha makala nyingine hadi nifanye marekebisho hayo na kujifunza zaidi.
Amani kwako @Riccardo Riccioni AlvinDulle (majadiliano) 17:52, 20 Novemba 2023 (UTC)Reply