Taasisi ya Skauti Lesotho hariri

Lesotho ina vijana wa kiume 371 wa skauti wanaosaidiwa na Taasisi ya Skauti Lesotho. Iliyoanziswa mwaka 1936, na kuwa mwanachama wa Shirika la Ulimwengu la harakati za Skauti mwaka 19971.


Taasisi ya Skauti Sudani hariri

Taasisi ya skauti sudani ni shirika la skauti la serikali ya sudani. Lilliloanzishwa rasmi mwaka 1935, na kuwa mwanachama wa shirika la kiharakati skauti duniani mwaka 1956. shirika la skauti sudani ina vijana wa kiume pekee 14,868 kama wanachama mnamo 2011.

Taasisi ya mwongozo wa Togo hariri

Taasisi ya mwongozo wa Togo ni shirika la kitaifa la mwongozo wa Togo. inajumuisha wanachama 2,495 kufikia mwaka 2003 na ilianzishwa 1942, wasichana pekee wamekuwa wanachama wa chama cha dunia cha waelekezi wasichana na wasichana skauti mnamo mwaka 1963.

Marejeo hariri