Czeus25 Masele
Joined 21 Oktoba 2017
(Elekezwa kutoka Mtumiaji:Makangabila Clement)
Czeus25 Masele | |
---|---|
Uraia | Mtanzania |
Karibu katika ukurasa wangu!
Mimi ni mhariri na mchangiaji wa makala za Kiswahili katika Wikipedia ya kiswahili kutoka nchini Tanzania. "Njia nzuri ya kutabiri kesho yako ni kuitengeneza, na kusoma sana huuchosha mwili lakini kujifunza hakuchoshi akili"
Masanduku ya Mtumiaji hariri
Userbox | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
|
Majadiliano hariri
- Karibu katika ukurasa wangu wa majadiliano kwa kufungua hapa [[1]]
Warsha ya Astronomia kamusi hariri
Nikiwa katika warsha ya kamusi astronomia.
.
Wiki Loves Women hariri
Katika Editorthon ya WikiLoves women, nilipata fursa ya kujifunza kuandaa Jamii na Metadata.
Katika Picha nikiwa na Mwalimu wangu Ingo Koll.
.
Maktaba hariri
Makangabila.jpg
Kukaribisha hariri
Nimejikita sana kukaribisha wageni na kuwapa muongozo wa wikipedia ya kiswahili. Badiliko hili ni la 1000 tangu nmeanza uandishi.