Mudux01
Imejiunga 15 Mei 2006
Wikipedia:Babel | |||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
|
Mahmoud Amin (mudux)
haririMimi nani ?
haririMimi nimhusika mpya katika miradi za Wikipedia. Mimi ni mwananchi wa Kenya, muda huu nasomea katika chuo kikuu cha Istanbul.
Nivipendavo
hariri- Mimi sina maisha bila tarakishi-(computer) .
- Napenda kuandika bidhaa pepe-(Programs) : Lugha za bidhaa pepe ninazofahamu: java, javascript, fortran, php, actionscript, na zenginezo
- Napenda kutumia bidhaa za cisco; routers, switches na kadhalika
- Napenda kutumia FC4 (Fedora core 4)
mawasiliano
hariri- Barua pepe « No more Spammers »
- Nitupie gumzo; kong'oli hapa Kurasa la gumzo