Muungano wa benki za Equity

Muungano wa benki za Equity (kwa Kiingereza: Equity Group Holdings) ni shirika la kifedha katika Afrika Mashariki. Makao makuu yamo mjini Nairobi, Kenya, pamoja na matawi nchini Kenya, Uganda, Rwanda na Sudan Kusini.

Muungano wa benki za Equity
Ilipoanzishwa1984
Makao MakuuRagati Road, NHIF Building, Nairobi, Kenya Kenya
Tovutihttp://www.equitybank.co.ke
Benki ya Equity, Kenya

Muhtasari hariri

Muungano wa benki za Equity ni muungano wa kifedha unaokua kwa kasi katika Afrika Mashariki, ikiwa na mali inayokadiriwa kuwa dola bilioni 1.1 za Marekani,mnamo Juni 2009. Benki hii ilipatiwa taji la "benki bora zaidi katika Afrika"katika hafla ya mwaka wa tuzo la "mabenki bora katika Afrika" mjini Washington, DC, marekani ya kaskasini mwezi Oktoba 2008. benki ya Equity pia ilituzwa kama Kampuni iliyotia fora zaidi katika tuzo la "Best Performing Ai100 company" wakati wa sherehe za "Africa Investor Awards" zilizofanyika katika mji wa soko la hisa la New York mnamo Septemba 2008.

Mnamo juni 2008, benki hii ilichaguliwa na "Euromoney awards" kama benki bora zaidi nchini Kenya. Huko Kenya, Benki ya Equity ilichaguliwa kuwa benki iliyo bora zaidi katika tuzo la "Renaissance Capital Bank awards" mnamo mwezi wa Agosti 2008 na mara ilitaja kama kampuni yenye hisa ambazo zina dhamana kwa wenyehisa katika Soko La Hisa La Nairobi mnama mwaka wa 2008. [1]

Wanachama hariri

Muungano wa benki za Equity umeundwa na kampuni mbalimbali kama vile:

Akiba ya muungano wa maBenki ya Equity fanyiwa biashara katika Soko la Hisa la Nairobi na pia katika soko la hisa la Uganda, chini ya ishara ya: EBL.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Muungano wa benki za Equity kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.